-
2 Timotheo 4:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 Luka tu ndiye aliye pamoja nami. Mchukue Marko uje pamoja naye, kwa maana ni mwenye faida kwangu katika huduma.
-
-
2 Timotheo 4:11Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
11 Luka peke yake yuko pamoja nami. Umchukue Marko na kumleta pamoja nawe, kwa maana yeye ni mwenye mafaa kwangu kwa ajili ya huduma.
-