-
Tito 3:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Maneno haya ni yenye kutegemeka, na ninataka uendelee kuyakazia mambo haya, ili wale ambao wamemwamini Mungu waendelee kukaza fikira zao katika kudumisha matendo mema. Mambo haya ni mema na yanawanufaisha watu.
-
-
Tito 3:8Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
8 Wa uaminifu ni huu usemi, na kuhusu mambo haya natamani wewe usisitize imara daima, ili wale ambao wameamini Mungu wapate kuweka akili zao juu ya kudumisha kazi zilizo bora. Mambo haya ni bora na yenye manufaa kwa watu.
-