-
Waebrania 13:18Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
18 Endelezeni sala kwa ajili yetu, kwa maana sisi twaitibari tuna dhamiri yenye kufuata haki, kwa kuwa twataka kujiendesha wenyewe kwa kufuata haki katika mambo yote.
-