-
Yakobo 3:4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
4 Tazameni hata meli: Ingawa ni kubwa sana nazo huendeshwa na upepo mkali, zinaongozwa na mtambo wa usukani ulio mdogo sana ili kwenda popote ambapo mtu aliye kwenye usukani anataka.
-
-
Yakobo 3:4Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
4 Tazameni! Hata mashua, zijapokuwa ni kubwa sana na huendeshwa na pepo kali, huongozwa na mtambo wa usukani ulio mdogo sana kwenda ambako mwelekeo wa mtu aliye kwenye usukani ataka.
-