-
Yakobo 3:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Kwa maana kila aina ya mnyama wa mwituni, ndege, mnyama anayetambaa, na kiumbe wa baharini anaweza kufugwa na wamefugwa na wanadamu.
-
-
Yakobo 3:7Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
7 Kwa maana kila namna ya jamii ya hayawani-mwitu na vilevile ndege na kitambaazi na kiumbe cha baharini ni ya kufugwa na imefugwa na jamii ya kibinadamu.
-