-
Yakobo 3:14Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
14 Lakini ikiwa nyinyi mna wivu wenye uchungu na ugomvi katika mioyo yenu, msiwe mkijigamba na kusema uwongo dhidi ya kweli.
-