-
1 Yohana 2:13Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
13 Ninawaandikia nyinyi, akina baba, kwa sababu mmekuja kujua yeye aliye wa tangu mwanzo. Nawaandikia nyinyi, wanaume vijana, kwa sababu mmemshinda mwovu. Nawaandikia nyinyi, watoto wachanga, kwa sababu mmekuja kumjua Baba.
-