-
1 Yohana 4:16Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
16 Na sisi wenyewe tumekuja kujua na tumeamini upendo ambao Mungu anao katika kisa chetu.
Mungu ni upendo, na yeye ambaye hukaa katika upendo hukaa katika muungano na Mungu na Mungu hukaa katika muungano na yeye.
-