-
Yuda 6Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
6 Na malaika ambao hawakutunza cheo chao cha awali bali wakaachilia mbali mahali pao wenyewe pa kukaa penye kufaa amewaweka akiba wakiwa na vifungo vya milele chini ya giza zito kwa hukumu ya siku kubwa.
-