-
Ufunuo 6:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Nami nikaona, na tazama! farasi wa rangi ya kijivu, na yule aliyeketi juu yake alikuwa na jina Kifo. Na Kaburi* lilikuwa likimfuata kwa ukaribu. Nao wakapewa mamlaka juu ya sehemu ya nne ya dunia, ili kuua kwa upanga mrefu na kwa upungufu wa chakula+ na kwa ugonjwa hatari na kwa wanyama wa mwituni wa dunia.+
-
-
Ufunuo 6:8Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
8 Nami nikaona, na, tazama! farasi wa rangi ya kijivujivu; na yeye aketiye juu yake alikuwa na jina Kifo. Na Hadesi ilikuwa ikimfuata karibu-karibu. Nao walipewa mamlaka juu ya sehemu ya nne ya dunia, ili kuua kwa upanga mrefu na kwa upungufu wa chakula na kwa tauni ya kufisha na kwa mahayawani-mwitu wa dunia.
-