-
Ufunuo 9:9Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
9 nao walikuwa na mabamba ya kifuani kama mabamba ya kifuani ya chuma. Na mvumo wa mabawa yao ulikuwa kama mvumo wa magari ya farasi wengi wakikimbia kuingia katika pigano.
-