-
Ufunuo 12:17Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
17 Nalo joka kubwa likaingiwa na hasira ya kisasi kuelekea huyo mwanamke, na likaenda zalo kufanya vita na waliobaki wa mbegu yake, washikao amri za Mungu na walio na kazi ya kutoa ushahidi kuhusu Yesu.
-