-
Ufunuo 13:18Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
18 Hapa ndipo hekima yahitajiwa: Acheni aliye na akili apige hesabu ya nambari ya huyo hayawani-mwitu, kwa maana ni nambari ya binadamu; na nambari yake ni mia sita sitini na sita.
-