-
Ufunuo 14:1Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
14 Nami nikaona, na, tazama! Mwana-Kondoo amesimama juu ya Mlima Zayoni, na pamoja naye mia arobaini na nne elfu wakiwa na jina lake na jina la Baba yake limeandikwa juu ya vipaji vya nyuso zao.
-