Mwanzo 16:4 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 4 Basi akalala na Hagari, naye akapata mimba. Wakati alipojua kwamba ana mimba, ndipo bimkubwa wake akawa mtu wa kudharaulika machoni pake.+ Mwanzo Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 16:4 Mnara wa Mlinzi (Toleo la Watu wote),Na. 5 2017 kur. 13-14
4 Basi akalala na Hagari, naye akapata mimba. Wakati alipojua kwamba ana mimba, ndipo bimkubwa wake akawa mtu wa kudharaulika machoni pake.+