-
Kutoka 12:4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
4 Lakini ikiwa nyumba hiyo ni ndogo sana kwa kondoo huyo, basi yeye na jirani yake aliye karibu watamwingiza nyumbani mwake kulingana na hesabu ya nafsi; mtafanya hesabu ya kila mmoja kulingana na ulaji wake kuhusiana na kondoo huyo.
-