-
Yoshua 8:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Kisha Yoshua akawatuma, nao wakaenda mahali pa kuvizia, wakapiga kambi kati ya Betheli na Ai upande wa magharibi wa Ai, naye Yoshua akaendelea kukaa usiku huo katikati ya watu.
-