Yoshua 19:27 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 27 nao ukarudi upande wa mapambazuko ya jua kuelekea Beth-dagoni, ukafika hadi Zabuloni+ na bonde la Iftah-eli upande wa kaskazini, hadi Beth-emeki na Neieli, ukaenda hadi Kabuli upande wa kushoto,
27 nao ukarudi upande wa mapambazuko ya jua kuelekea Beth-dagoni, ukafika hadi Zabuloni+ na bonde la Iftah-eli upande wa kaskazini, hadi Beth-emeki na Neieli, ukaenda hadi Kabuli upande wa kushoto,