-
Waamuzi 4:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 Ndipo Yaeli akatoka nje kumpokea Sisera, akamwambia: “Karibia huku, bwana wangu, karibia huku kwangu. Usiogope.” Basi akakaribia kwake, akaingia katika hema. Baadaye akamfunika kwa blangeti.
-