-
Waamuzi 18:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 Walipokuwa karibu na nyumba ya Mika, wakatambua sauti ya yule kijana, Mlawi, kisha wakageuka kando kuingia humo. Nao wakamwambia: “Ni nani aliyekuleta hapa, nawe unafanya nini hapa, nawe una shughuli gani hapa?”
-