-
Waamuzi 20:42Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
42 Basi wakageuka mbele ya watu wa Israeli kuelekea nyikani, na pigano likawafuata kwa ukaribu, huku wale watu waliokuwa wakitoka katika majiji wakiwaangamiza katikati yao.
-