2 Samweli 2:21 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 21 Ndipo Abneri akamwambia: “Geuka upande wako wa kuume au wa kushoto, umkamate mmoja wa vijana awe wako na uchukue kile utakachovua+ kutoka kwake kiwe chako.” Na Asaheli hakutaka kugeuka kando, aache kumfuatilia.
21 Ndipo Abneri akamwambia: “Geuka upande wako wa kuume au wa kushoto, umkamate mmoja wa vijana awe wako na uchukue kile utakachovua+ kutoka kwake kiwe chako.” Na Asaheli hakutaka kugeuka kando, aache kumfuatilia.