-
2 Wafalme 3:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Walipoamka asubuhi na mapema, jua likamulika juu ya yale maji, hivi kwamba Wamoabu kutoka upande wa pili wakaona yale maji kuwa ni mekundu kama damu.
-