-
2 Mambo ya Nyakati 21:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Basi Yehoramu pamoja na wakuu wake wakavuka na pia magari yote pamoja naye. Na ikawa kwamba aliondoka wakati wa usiku, akawapiga na kuwaua Waedomu waliokuwa wamemzunguka na pia wale wakuu wa magari.
-