7 Nami nikafanya vile nilivyokuwa nimeamriwa.+ Mizigo yangu nikaitoa nje, kama vile mizigo ya kwenda uhamishoni, wakati wa mchana; na jioni nikatoboa njia yangu ukutani kwa mkono. Wakati wa giza nikaitoa nje. Nikaibeba juu ya bega langu, mbele ya macho yao.