-
Ezekieli 41:17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
17 Mpaka juu ya mwingilio na kufikia nyumba ya ndani na upande wa nje na juu ya ukuta wote kuzunguka pande zote, kwenye nyumba ya ndani na nje, kulikuwa na vipimo,
-