Obadia 16 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 16 Kwa maana kama ninyi mlivyokunywa kwenye mlima wangu mtakatifu, ndivyo mataifa yote watakavyoendelea kunywa daima.+ Nao watakunywa na kumeza wawe kana kwamba hawakupata kuwapo kamwe.
16 Kwa maana kama ninyi mlivyokunywa kwenye mlima wangu mtakatifu, ndivyo mataifa yote watakavyoendelea kunywa daima.+ Nao watakunywa na kumeza wawe kana kwamba hawakupata kuwapo kamwe.