-
Mathayo 21:8Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
8 Walio wengi zaidi katika umati wakatandaza mavazi yao ya nje barabarani, huku wengine wakianza kukata matawi kutoka kwenye miti na kuyatandaza barabarani.
-