-
Marko 11:2Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
2 na kuwaambia: “Nendeni mwingie katika kijiji kilicho karibu yenu, na mara tu mpitapo ndani yacho mtakuta mwana-punda amefungwa, ambaye hakuna yeyote wa wanadamu ameketi juu yake; mfungueni mmlete.
-