-
Luka 11:22Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
22 Lakini wakati mtu fulani mwenye nguvu zaidi yake ajapo dhidi yake na kumshinda, yeye huchukua zana zake zote za vita alizokuwa akiitibari, naye hugawanya vitu ambavyo yeye alimpora.
-