-
Luka 14:9Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
9 naye aliyekualika wewe na yeye, atakuja na kukuambia, ‘Acha mtu huyu apate mahali hapo.’ Na ndipo wewe utakapoanza kuondoka kwa aibu kukalia mahali pa chini zaidi sana.
-