-
Yohana 5:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 Lakini akawajibu: “Yule aliyenifanya niwe na afya nzuri aliniambia, ‘Chukua kitanda chako utembee.’ ”
-
-
Yohana 5:11Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
11 Lakini yeye akawajibu: “Yuleyule aliyenifanya timamu katika afya aliniambia, ‘Chukua kitanda chako utembee.’”
-