-
Matendo 3:10Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
10 Zaidi ya hayo, wakaanza kumtambua, kwamba huyu ndiye mtu aliyekuwa na kawaida ya kuketi kwa ajili ya zawadi za rehema penye Lango Zuri la hekalu, nao wakajawa na mshangao na upeo wa shangwe kwa lililokuwa limetukia kwake.
-