-
Matendo 22:11Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
11 Lakini kwa kuwa singeweza kuona kitu chochote kwa sababu ya utukufu wa nuru hiyo, nikawasili Damasko, nikiwa naongozwa kwa mkono wa wale waliokuwa pamoja nami.
-