-
Matendo 27:17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
17 Lakini baada ya kuiingiza ndani wakaanza kutumia misaada ili kuikaza mashua chini; nao wakiogopa kupanda mwamba katika Sirti, wakashusha vifaa vya kuendeshea na hivyo wakachukuliwa.
-
-
Matendo 27:17Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
17 Lakini baada ya kuinyanyua ndani wakaanza kutumia misaada ili kuikaza mashua chini; nao wakihofu kupanda mwamba katika Sirtisi, wakateremsha vifaa vya kuendeshea na hivyo wakaendeshwa.
-