-
1 Wakorintho 7:4Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
4 Mke hatumii mamlaka juu ya mwili wake mwenyewe, bali mume wake hutumia; hivyohivyo, pia, mume hatumii mamlaka juu ya mwili wake mwenyewe, bali mke wake hutumia.
-