Maelezo ya Chini
a Kutokana na maoni ya kistadi, inayosemekana kuwa milenia ya tatu itaanza Januari 1, 2001. Milenia ya kwanza ilianza kwa mwaka wa 1, badala ya mwaka wa sufuri. Hata hivyo, umma hushirikisha neno “milenia ya tatu” na mwaka wa 2000. Makala hii huelekeza kwenye mataraja yanayopendwa na wengi kuhusu mwaka wa 2000.