Maelezo ya Chini
c Ingawa mambo haya yametolewa kutoka kwenye orodha rasmi, tumetia ndani mabadiliko machache. Huenda si kila kitu kilichoonyeshwa kikafaa hali yako au sehemu unayoishi. Na pia huenda ukahitaji kuongeza vitu fulani. Kwa mfano, wazee na walemavu wana mahitaji yao ya pekee.