Maelezo ya Chini
b T3 ni homoni inayoitwa triiodothyronine na T4 inaitwa thyroxine. Nambari 3 na 4 zinaonyesha idadi ya atomu za iodini zilizo katika homoni hizo. Pia, dundumio hutokeza kalistonini, homoni inayosaidia kudumisha kiwango cha kalisi ndani ya damu.