Maelezo ya Chini
e Waandishi wengine wa kale pia wanamtaja Kristo. Wanatia ndani Suetonius, mwanahistoria Mroma aliyeheshimika (wa karne ya kwanza); Plini Mdogo, gavana wa Bithinia (wa mapema katika karne ya pili); na mwanahistoria Myahudi Yosefo (wa karne ya kwanza), ambaye anazungumza kuhusu “Yakobo, ndugu ya Yesu aliyekuwa akiitwa Kristo.”