Maelezo ya Chini
a Mwandiko wa michoro kutoka Babuloni ya kale unaripoti hivi: “Yote pamoja kuna mahekalu 53 katika Babuloni ya ile miungu mikuu, makanisa madogo 55 ya Marduki, makanisa madogo 300 kwa ajili ya miungu ya kidunia, 600 kwa ajili ya miungu ya kimbingu, madhabahu 180 kwa ajili ya mungu-mke Ishta, 180 kwa ajili ya miungu Nergali na Adadi na madhabahu nyingine 12 kwa ajili ya miungu mbalimbali.”