Maelezo ya Chini
a Matetemeko ya dunia halisi mara nyingi hutanguliwa na misukosuko yenye mtutumo ambayo husababisha mbwa kubweka au kutenda bila kutulia na hutaharakisha wanyama wengine na samaki, ingawa huenda wanadamu wasishuku mpaka tetemeko lenyewe linapopiga.—Ona Amkeni (Kiingereza), Julai 8, 1982, ukurasa 14.