Maelezo ya Chini
c Kwa zaidi ya miaka 35, kutoka 1895 mpaka 1931, maneno ya Luka 21:25, 28, 31 yalinukuliwa yakawekwa kwenye jalada la gazeti Mnara wa Mlinzi (Kiingereza) dhidi ya kisetiri-nyuma cha mnara wa taa ukimulikia anga zenye dhoruba juu ya bahari yenye mchafuko.