Maelezo ya Chini
c Daudi alikuwa kijana—“mvulana tu”—alipomuua Goliathi, na alikuwa na umri wa miaka 30 hivi Yonathani alipokufa. (1 Samweli 17:33; 31:2; 2 Samweli 5:4) Yonathani, ambaye alikuwa na umri wa miaka 60 hivi alipokufa, alikuwa amemzidi Daudi kwa miaka 30 hivi.