Maelezo ya Chini
a Vitendo hivyo vya ngono visivyo halali vinatia ndani mambo mbalimbali kama vile kufanya ngono kwa mdomo, ngono ya mkundu, kupapasa viungo vya uzazi vya mtu mwingine ili kuamsha hamu ya ngono, na ngono kati ya mwanamume na mwanamke ambao hawajafunga ndoa.