Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Profesa Russell anataarifu katika kitabu chake The Devil​—Perceptions of Evil From Antiquity to Primitive Christianity: “Uhakika wa kwamba Ibilisi anakuwa hajaonyeshwa kwa ukamili kabisa katika Agano la Kale si msingi wa kukataa kuwako kwake katika theolojia ya ki-siku-hizi ya Kiyahudi na Kikristo. Kuukataa kungekuwa ni kuwa na wazo lile lenye makosa ambalo limekuwapo tangu zamani​—wazo la kwamba ukweli wa neno​—au dhana fulani​—unapatikana katika namna yalo iliyo ya mapema zaidi. Badala ya hivyo, ukweli wa kihistoria unaonekana wakati jambo linapoendelea-endelea kufanyika kwa kadiri muda unavyopita.”​—Ukurasa 174.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki