Maelezo ya Chini
a Mwafaka huo ni wa kwanza na wa maana zaidi wa ule mfululizo wa maafikiano yaliyotiwa sahihi katika Helsinki na Kanada, United States, Urusi, na nchi nyingine 32. Jina rasmi la mwafaka huo mkuu ni Sheria ya Mwisho ya Baraza la Usalama na Ushirikiano katika Ulaya. Mradi walo wa msingi ulikuwa ni kupunguza uvutano wa kimataifa kati ya Mashariki na Magharibi.—World Book Encyclopedia.