Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Ili familia iwe na furaha, ni lazima kila mshiriki ajue mambo anayotarajiwa kufanya na ni lazima ashirikiane vizuri na wengine katika familia. Kwa upendo, baba anaiongoza familia, mama anamuunga mkono, na watoto wanawatii wazazi wao. Ndivyo ilivyo na familia ya Yehova. Mungu wetu ana kusudi zuri kwa ajili yetu, na ikiwa tutaunga mkono kusudi hilo, tutakuwa sehemu ya familia ya waabudu wake milele.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki