Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Juma Hili
Februari 17-23
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha—2025 | Januari

FEBRUARI 17-23

METHALI 1

Wimbo 88 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Mfalme Sulemani akiwa ameketi nje na mwana wake, akimpa mashauri.

Mwana wa Sulemani akisikiliza nidhamu yenye upendo ya baba yake

1. Vijana—Mtamsikiliza Nani?

(Dak. 10)

[Onyesha VIDEO yenye kichwa Utangulizi wa Methali.]

Muwe na hekima msikilize wazazi wenu (Met 1:8; w17.11 29 ¶16-17; ona picha)

Usiwasikilize wanaotenda maovu (Met 1:​10, 15; w05 2/15 19-20 ¶11-12)

Ndugu kijana akiwa shuleni, wanafunzi wenzake wakimshinikiza kutumia simu kufanya jambo fulani baya. Anatafakari ikiwa ni sawa kuwasikiliza.

2. Hazina za Kiroho

(Dak. 10)

  • Met 1:22—Kwa kawaida, maneno “mjinga” na “mpumbavu” yanamaanisha nini yanapotumiwa katika Biblia? (w22.10 21 ¶6, 7, 11)

  • Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?

3. Usomaji wa Biblia

(Dak. 4) Met 1:​1-23 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

4. Kuanzisha Mazungumzo

(Dak. 2) MAHUBIRI YA UMMA. Mwenye nyumba anataka kubishana nawe. (lmd somo la 6 jambo kuu la 5)

5. Kuanzisha Mazungumzo

(Dak. 2) MAHUBIRI YA UMMA. Mpe namba yako mtu aliyependezwa na umwombe yake. (lmd somo la 1 jambo kuu la 5)

6. Kufuatia Upendezi

(Dak. 2) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Mweleze kuhusu programu yetu ya kujifunza Biblia, na umpe kadi ya mawasiliano ya kujifunza Biblia. (lmd somo la 9 jambo kuu la 5)

7. Kufanya Wanafunzi

(Dak. 5) lff somo la 16 jambo kuu la 6. Tumia makala kutoka kwenye sehemu ya “Chunguza Zaidi” unapozungumza na mwanafunzi ambaye anajiuliza ikiwa kweli miujiza ambayo Yesu alifanya ilikuwa halisi. (th somo la 3)

MAISHA YA MKRISTO

Wimbo 89

8. Mahitaji ya Kutaniko

(Dak. 15)

9. Funzo la Biblia la Kutaniko

(Dak. 30) bt sura ya 22 ¶15-21

Umalizio (Dak. 3) | Wimbo 80 na Sala

Yaliyomo
Mnara wa Mlinzi (Funzo)—2024 | Desemba

Makala ya 50: Februari 17-23, 2025

14 Wazazi—Wasaidieni Watoto Wenu Waimarishe Imani Yao

Habari za Ziada

Makala nyingine katika gazeti hili

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki