Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Juma Hili
Machi 24-30
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha—2025 | Machi

MACHI 24-30

METHALI 6

Wimbo 11 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

1. Tunaweza Kujifunza Nini Kutoka kwa Chungu?

(Dak. 10)

Tunaweza kujifunza masomo muhimu kwa kuwachunguza chungu (Met 6:6)

Licha ya kwamba hawana mtawala, chungu hufanya kazi kwa bidii, wanashirikiana, na wanajitayarisha kwa ajili ya wakati ujao (Met 6:​7, 8; it-1 115 ¶1-2)

Tunanufaika kwa kumwiga chungu (Met 6:​9-11; w00 9/15 26 ¶3-4)

Chungu waliobeba vipande vya majani.

© Aerial Media Pro/Shutterstock

2. Hazina za Kiroho

(Dak. 10.)

  • Met 6:​16-19—Je, dhambi zilizoorodheshwa katika mistari hii ni orodha kamili ya mambo yote ambayo Yehova anachukia? (w00 9/15 27 ¶3)

  • Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?

3. Usomaji wa Biblia

(Dak. 4) Met 6:​1-26 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

4. Kuanzisha Mazungumzo

(Dak. 4) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Mwalike mtu wa ukoo ambaye ni mhubiri asiyetenda kwenye hotuba ya pekee na Ukumbusho (lmd somo la 4 jambo kuu la 3)

5. Kuanzisha Mazungumzo

(Dak. 4) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Mwombe mwajiri wako ruhusa ya kuhudhuria Ukumbusho. (lmd somo la 3 jambo kuu la 3)

6. Kuanzisha Mazungumzo

(Dak. 4) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Mwalike mtu huyo kwenye hotuba ya pekee na Ukumbusho. (lmd somo la 5 jambo kuu la 3)

MAISHA YA MKRISTO

Wimbo 2

7. Uumbaji Unathibitisha Kwamba Yehova Anataka Tuwe na Furaha—Wanyama Wenye Kuvutia

(Dak. 5) Mazungumzo.

Onyesha VIDEO. Kisha waulize wasikilizaji:

  • Wanyama wanatufundisha nini kumhusu Yehova?

8. Mahitaji ya Kutaniko

(Dak. 10)

9. Funzo la Biblia la Kutaniko

(Dak. 30) bt sura ya 24 ¶7-12, sanduku uk. 193

Umalizio (Dak. 3) | Wimbo 126 na Sala

Yaliyomo
Mnara wa Mlinzi (Funzo)—2025 | Januari

Makala ya 4: Machi 24-30, 2025

20 Fidia Inatufundisha Nini?

Habari za Ziada

Makala nyingine katika gazeti hili

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki